Kembo

Khadja Nin

Compositor: Dominic James Miller, Khadja Nin, Paul Rein

unaniaca unaenda tena
nabaki apa mimi peke yangu
watoto, watoto wanaliya
usiende...
kembo, kembo, kembo...


watoto wanaliya...wewe
"napashwa"
wandugu wanaliya...
ni wewe
"napashwa"
ata mama yako analiya
"napashwa"
mimi bibi yako naliya
usiende na sorrow
nitangoja...kembo.


"usiende na sorrow
tutangoja"


usiende na sorrow
tutangoja...kembo.


watoto wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
wandugu wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
ata mama yako analiya
"unapashwa"
mimi bibi yako naliya
usiende na sorrow
nitangoja...
kembo... kembo...kembo...

©2003- 2026 lyrics.com.br · Aviso Legal · Política de Privacidade · Fale Conosco desenvolvido por Studio Sol Comunicação Digital